- Karibuni nyote wageni kwa wenyeji katika Sabato ya leo, Jisikieni amani kuwemo
Nyumbani mwa Bwana, leo pia kama ilivyo ada tutapata chakula cha pamoja
kilichoandaliwa na Kanisa Hivyo basi tusalie kanisani baada ya ibada. Wakati wa
mchana pia program zitaendelea kama zilivyoainishwa kwenye ratiba, hivyo
tunakaribishwa sana - Uongozi wa kanisa unaendelea kuwaomba washiriki wote wa DCC kuendelea
kuchangia gharama za awali za uendeshaji wa eneo la Ibada wakati huu ambapo bado
mchakato wamgawanyowamaliukiwaunaendelea. - Ofisi ya Katibu inaendelea kuwakumbusha wale wote ambao bado hawajawasilisha
majina yao kwa ajili ya ushirkia waonane na Katibu wa Kanisa kwa ajili ya ufanisi wa
jambo hilo - Kesho Jumapili ya Tar 29/12/2024, itakuwa ni siku Maalumu ya kufunga na kuomba
hivyo washiriki wote tunaombwa kuhudhuria - Sabato ijayo tar 04/01/2025 itakuwa ni sabato yenye ibada maalumu ya kufungua
Mwaka, Sabato hii itaendana na Huduma ya Ubatizo kwa watu wanaohitaji huduma
hiyo pamoja nakuweka wakfu watendakazi ambaotutawapitisha leo. - Semina za uwakili zitakazokuwa zikiendeshwa na Union (STUM) zitaanza tar 18
20/01/2025. Seminar hizi zitafanyika katika Kanisa la la Waadventista Wasabato
Magomeni kuanzia saa 2:00 hadi saa 12:00 jioni. Wahusika katika semina hizi ni
washiriki wa makanisa ya Dar es Salaam, Kwaya za Dar es Salaam, wachungaji wote, na
wajumbe wa uwakili kutoka katika makanisa mahalia. Kwa watakaohudhuria
tunaomba wawasilishe majina yao leo kwa ofisi ya Katibu wa Kanisa kwa ajili ya
uratibu - Wahudumuwawiki
Mzee wa Zamu:DrTaphinezMachibya+255(0)785406637
Muhudumu wa Watoto:ZechariaEmmanuelChomo
Mashemasi wa Zamu:Ofisi yaMashemasi
Jumatano ya Maombi:
Muhudumu:CasmirCosmas
Kufungua Sabato:
Muhudumu:ElderGeoffreySaid
Wahudumu Sabato ijayo tar 04/12/2024: Ofisi ya Wazee/ Program Coordinators
Nyimbo: Program Coordinators - Kusoma majina ya watenda Kazi kwa Nafasi zilizokuwa wazi, kwa ajili ya kuwapitisha
MATANGAZO DCC 28.12.2024