SWAHILI:
Habari! Karibu sana katika Kipindi cha Maombi – Amka na Tumaini, kinachoandaliwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato, Dar es Salaam Central SDA Church. Tunakualika kushiriki nasi ibada hii takatifu na kuwakaribisha ndugu, jamaa, na marafiki wako.
⏰ Kila Jumatatu na Jumatano
🕚 Saa 11:00 hadi 11:30 Alfajiri
Google Meet joining info
Video call link: https://meet.google.com/kxy-wrja-uqb
Njoo tuanze siku kwa tumaini jipya, tukimtafuta Bwana kwa maombi na sifa! Karibu sana. 🙏
EN:
Greetings! Welcome to the Prayer Session – Wake Up with Hope, hosted by the Seventh-day Adventist Church, Dar es Salaam Central SDA Church. We warmly invite you to participate in this sacred service and encourage you to bring along your brothers, relatives, and friends.
⏰ Every Monday and Wednesday
🕚 11:00 to 11:30 AM
Google Meet joining info
Video call link: https://meet.google.com/kxy-wrja-uqb
Come and start the day with new hope, seeking the Lord in prayer and praise! Welcome. 🙏