SWAHILI:
Habari! Karibu sana katika Kipindi cha Maombi – Amka na Tumaini, kinachoandaliwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato, Dar es Salaam Central SDA Church. Tunakualika kushiriki nasi ibada hii takatifu na kuwakaribisha ndugu, jamaa, na marafiki wako.
Kila Jumatatu na Jumatano
Saa 11:00 hadi 11:30 Alfajiri
Google Meet joining info
Video call link: https://meet.google.com/kxy-wrja-uqb
Njoo tuanze siku kwa tumaini jipya, tukimtafuta Bwana kwa maombi na sifa! Karibu sana.
EN:
Greetings! Welcome to the Prayer Session – Wake Up with Hope, hosted by the Seventh-day Adventist Church, Dar es Salaam Central SDA Church. We warmly invite you to participate in this sacred service and encourage you to bring along your brothers, relatives, and friends.
Every Monday and Wednesday
11:00 to 11:30 AM
Google Meet joining info
Video call link: https://meet.google.com/kxy-wrja-uqb
Come and start the day with new hope, seeking the Lord in prayer and praise! Welcome.