Amka na Bwana / Wake up with the Lord.
SWAHILI: Habari! Karibu sana katika Kipindi cha Maombi - Amka na Tumaini, kinachoandaliwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato, Dar es Salaam Central SDA Church. Tunakualika kushiriki nasi ibada hii takatifu na kuwakaribisha ndugu, jamaa, na marafiki wako. ā° Kila Jumatatu na Jumatanoš Saa 11:00 hadi 11:30 Alfajiri Google Meet joining infoVideo call link: https://meet.google.com/kxy-wrja-uqb

						
						
